×

Bruno Fernandes Kuongoza Mashambulizi ya United Dhidi ya Sunderland Leo

Leo Mei 9 saa 17:00 alasiri Uwanja wa Stadium of Light utakuwa mwenyeji wa mchezo wa Ligi Kuu kati ya Sunderland nafasi ya 12 na Manchester United nafasi ya 3.

United wakiwa na pointi 64 wameshapata tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya, huku Sunderland wakiwa na pointi 47 wakilenga kumaliza katika nafasi za juu zaidi za msimu wao wa kwanza tangu kurejea Ligi Kuu .

Manchester United wlitoa kichapo kwa Liverpool 3-2 wiki iliyopita na wanasafu nzuri ya ya ushambuluaji inayo wapa ushindi . Hata hivyo, wana wasiwasi juu ya mshambuliaji wao Benjamin Sesko aliyetoka nje ya mchezo baada ya kutonesha jeraha alilokuwa nalo.

Kihistoria, Manchester United wamekuwa wakitawala dhidi ya Sunderland, wakishinda michezo 4 kati ya 5 ya mwisho Ligi Kuu . Mchezo wa mwisho kati yao msimu huu ulimalizika kwa ushindi wa 2-0 kwa United . Hata hivyo, Sunderland wamekuwa hodari Uwanjani kwao msimu huu wakishinda mara 8 , na wanatarajiwa kuwa wakali hasa wanapo kabiliana na timu kubwa.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

United wanaweza kuanza na Bruno Fernandes mhimili wa mashambulizi . Ikiwa Sesko hatacheza, Matheus Cunha anaweza kupewa jukumu la kuongoza mashambulizi . Sunderland wana uwezo wa kukaba na kuvunja mashambulizi ya United, lakini udhaifu wao ni kukabili mashambulizi ya pembeni na makosa ya ulinzi .

Kwa kuzingatia tofauti ya ubora na matokeo ya hivi karibuni ya United, wana nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi . Hata hivyo, historia inaonyesha kuwa michezo kati ya timu hizi mara nyingi huwa na mabao . lakini Sunderland wakiwa nyumbani wanaweza kuweka shinikizo zuri kwa angalau bao moja . Mchezo unatarajiwa kuwa wa kasi na matukio mengi, Jisajili  

Leave a Comment