The House of Favourite Newspapers

Njemba atembezwa mtaani uchi kwa wizi wa kuku

0

njemba (1)

NJEMBA mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ametembezwa akiwa uchi mitaani baada ya kuiba kuku.

Tukio hilo la kumtembeza kibaka huyo lilifanywa na wanakijiji wa Kwande katika Jimbo la Benue nchini Nigeria.

njemba (2)

Wananchi hao wa Kwande wanadai waliamua kufanya hivyo ili liwe funzo kwa wengine wenye tabia kama za kijana huyo.

Leave A Reply