
Leo Ijumaa Mei 15, 2026 saa 22:00, Aston Villa watakuwa wenyeji wa Liverpool kwenye Villa Park. Tatizo la kiufundi la mchezo huu ni viti viwili vya kati, Liverpool wana wachezaji wa kati wanaopenda kushambulia kwa kasi baada ya kukaba mara moja.
Villa wana wachezaji wa kati wanaocheza kwa utulivu na kusubiri makosa. Kati ya Boubacar Kamara (Villa) na Alexis Mac Allister Liverpool itaamua mwelekeo wa mchezo. Mchezaji atakayeshinda mapambano ya mpira wa pili atampa timu yake nafasi zaidi ya kudhibiti mchezo.
Emery amejenga timu ya Villa inayocheza vizuri sana kwenye uwanja wake kwa kutumia mkakati wa “kumiliki mpira katikati na kushambulia pembeni”. Wachezaji wake wawili wa pembeni, Leon Bailey na Morgan Rogers, wana kasi ya kutosha kuwashinda mabeki wa Liverpool.
Lakini kikwazo kikubwa ni kwamba Villa wana fainali ya Europa league baada ya siku 5 tu, hivyo Emery anaweza kutoanza na wachezaji wake wote wakuu hasa Ollie Watkins na Youri Tielemans wanaweza kuanza benchi ili wawekwe kwa ajili ya fainali. Hii itapunguza nguvu ya mashambulizi ya Villa.
Kocha Arne Slot wa Liverpool anajulikana kwa kupenda kushambulia kwenye korido za pembeni, hasa upande wa kushoto kupitia Cody Gakpo au Chiesa Federico, na kulia kupitia Szoboszlai Dominik. Lakini amekuwa akipoteza nafasi nyingi ugenini msimu huu .
Mabadiliko ya dakika ya 60 yatakuwa muhimu, Liverpool ana wachezaji kama Harvey Elliott na Conor Bradley wanaoweza kuleta nguvu mpya, wakati Villa akibakiza nguvu kwa ajili ya fainali, atachelewa kufanya mabadiliko.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Villa wamefungwa mabao mengi msimu huu kutokana na makosa ya mabeki wao kusoma mipira ya nyuma ya safu ya ulinzi. Liverpool wana wachezaji wanaopenda kupokea mipira hiyo wakati wowote Mac Allister au Gravenberch akitoa pasi ndefu kwa Chiesa Federico mlinzi wa Villa Diego Carlos ana tabia ya kuchelewa kurudi, hivyo kuacha nafasi kubwa.
Kwa upande mwingine, Liverpool wenyewe wamekuwa dhaifu katika kuzuia mipira ya kona kati ya mabao 34 waliyokubali msimu huu, 10 yametoka kwenye seti za mipira ya kona. Villa wana wachezaji warefu kama Konsa na Torres wanaoweza kufaidika na hili. Jisajili