×

Taifa Stars Yapangwa na Nigeria Kufuzu Afcon 2027, Makundi Yote Yapo Hapa

Taifa Stars imepangwa Kundi L katika droo ya kufuzu AFCON 2027, kundi ambalo lina timu za Nigeria, Madagascar  na Guinea-Bissau.

Ratiba ya mechi za kufuzu itakuwa kama ifuatavyo:

• Mzunguko wa kwanza na wa pili: Septemba 21 hadi Oktoba 6, 2026.

• Mzunguko wa tatu na wa nne: Novemba 9 hadi Novemba 17, 2026.

• Mzunguko wa tano na wa sita: Machi 22 hadi Machi 30, 2027.

MAKUNDI YA KUFUZU AFCON 2027

Kundi A: Morocco, Gabon, Niger, na Lesotho.

Kundi B: Egypt, Angola, Malawi, na South Sudan.

Kundi C: Côte d’Ivoire, Ghana, The Gambia, na Somalia.

Kundi D: South Africa, Guinea, Kenya, na Eritrea.

Kundi E: Congo DR, Equatorial Guinea, Sierra Leone, na Zimbabwe.

Kundi F: Burkina Faso, Benin, Mauritania, na Central African Republic.

Kundi G: Cameroon, Comoros, Namibia, na Congo.

Kundi H: Tunisia, Uganda, Libya, na Botswana.

Kundi I: Algeria, Zambia, Togo, na Burundi.

Kundi J: Senegal, Mozambique, Sudan, na Ethiopia.

Kundi K: Mali, Cape Verde, Rwanda, na Liberia.

Kundi L: Nigeria, Madagascar, Tanzania, na Guinea-Bissau.

Leave a Comment