×

Meridianbet Yamtangaza Dejan Petković Kuwa Balozi Mpya Duniani

Meridianbet imezidi kuonyesha ukubwa wake duniani baada ya kumtangaza nguli wa soka la Brazil na Serbia, Dejan Petković “Pet”, kuwa Global Brand Ambassador mpya. Hii ni hatua kubwa kwa mashabiki wa michezo wanaopenda ushindi na burudani. Sasa Meridianbet haipo tu kwenye odds kali, bali pia inaleta ujuzi mpya kabisa kwa vijana wa kizazi hiki.

Kwa wale waliokua wakiifuatilia Flamengo, Vasco da Gama na faulu za hatari, basi jina la Pet halihitaji utambulisho mkubwa. Kupitia ushirikiano huu mpya, Meridianbet imezindua pia Pet TV, jukwaa litakalobeba mastori ya soka, burudani na safari kuelekea Kombe la Dunia 2026. Hii ni nafasi kwa mashabiki kuona upande tofauti wa mchezo wanaoupenda kila siku.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pet mwenyewe amesema yeye na Meridianbet wanafanana kwenye safari ya kupambana hadi kufika kileleni. Kauli hiyo imewapa hamasa mashabiki wengi wanaoamini kwenye upambanaji, ndoto kubwa na ushindi wa kweli. Meridianbet inaendelea kuwa sehemu ya vijana wanaotafuta burudani ya kisasa yenye msisimko wa kiwango cha juu kila siku.

Wakati huo huo, Meridian Holdings imeendelea kutikisa kimataifa baada ya kurekodi mafanikio makubwa zaidi kuwahi kutokea mwaka 2026. Ukuaji huu unaonyesha wazi kuwa Meridianbet inawekeza zaidi kwenye ubunifu, teknolojia na kuwapa watumiaji ujuzi bora zaidi duniani kote.

Kama unapenda mpira, ushindi na burudani yenye hadhi ya kimataifa, basi huu ndio muda wako kukaa karibu na Meridianbet. Kupitia Pet TV na ujio wa Pet, mashabiki sasa watapata burudani yenye mchanganyiko wa soka na msisimko wa ushindi mkubwa. Jiunge Meridianbet sasa na uwe sehemu ya timu ya mabingwa duniani.

Leave a Comment