
Kuna nyakati ambazo nafasi kubwa huanza kwa dau dogo. Hivyo ndivyo ilivyo kwenye Big Bounty Challenge ya Meridianbet, ambapo wachezaji wanapata nafasi ya kushindania mamilioni ya shilingi kila wiki kwa kuanza na kiwango kidogo kabisa.
Kupitia michezo ya Games Global, kila mchezo unaoucheza unakusaidia kupanda kwenye jedwali la ushindani. Hii ni nafasi ya kuonyesha uwezo wako huku ukikusanya nafasi zaidi za kutwaa zawadi kubwa.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa Tsh. 300 tu, unaweza kuingia rasmi kwenye mashindano yanayotoa hadi Tsh. 30,000,000 kila wiki. Hii ni fursa inayowapa vijana nafasi ya kushiriki bila kuwa na bajeti kubwa.
Kadri unavyocheza, ndivyo unavyozidi kujisogeza karibu na kilele cha ushindi. Wengi tayari wameanza safari yao, wakitumia kila nafasi wanayoipata kujaribu bahati yao na kutafuta ushindi mkubwa.
Big Bounty Challenge tayari imewasha moto kwa wapenzi wa kasino. Usikose nafasi hii ya kuwa sehemu ya washindi wanaojitokeza kila wiki kupitia Meridianbet.