Ni banduka bandua tena leo hii michuano mikubwa Duniani itaendelea kwa mechi za ushindi. Lakini kwa upande wa Meridianbet wanasema kuwa pesa kubwa inakungoja wewe, hivyo ingia na ubeti siku ya leo.
Vita kupigwa mechi ya Curacao dhidi ya Ivory Coast kutoka Afrika ambao kwenye mechi mbili walizocheza wamepata ushindi mechi moja na nyingine wakapoteza.
Curacao imekuwa na mwanzo mgumu baada ya kupokea kichapo kikubwa kutoka Ujerumani na baadaye kutoka sare dhidi ya Ecuador, jambo linaloifanya ihitaji ushindi ili kuendelea kuwa na matumaini ya kufuzu. Kwa upande mwingine, Ivory Coast ilianza vizuri kwa kuifunga Ecuador kabla ya kupoteza dhidi ya Ujerumani, hivyo ikihitaji matokeo mazuri ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ya mtoano.
Wakati Ivory Coast wao wanaingia kwenye mchezo huu ikiwa na faida ya ubora wa kikosi na uzoefu mkubwa wa mashindano makubwa. Wachezaji wake wa wa eneo la ushambuliaji wameonyesha uwezo wa kuleta tofauti, huku safu ya kiungo ikiwa na nguvu ya kudhibiti mchezo na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Hata hivyo, walionyesha mapungufu katika safu ya ulinzi walipokutana na Ujerumani, jambo ambalo linaweza kuwapa Curacao nafasi ya kushtukiza.
Tengeneza pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Nafasi ya kuondoka na ushindi kwenye mechi hii amepewa Tembo ( The Elephants) kutokana na ubora ambao wameonesha kwenye mechi zao mbili licha ya moja kuangukia pua. Lakini bado ndio wanaopendelewa kushinda hata kule kwa wakali wa ubashiri Meridianbet. Beti hapa.
Vilevile timu ya Ecuador atakuwa uwanjani kukipiga dhidi ya Ujerumani moja ya mechi ambayo ni muhimu sana kwa Ecuador ambao mpaka sasa kwenye mechi zake mbili ameshindwa kupata ushindi wowote ameambulia sare pekee. Kwenye Kundi hili E mpaka sasa timu ya Taifa ya Ujerumani wao tayari wameshafuzu kwenye hatua inayofuata baada ya kushinda mechi zao mbili.
Sebastian Beccacece na vijana wake wa Ecuador mpaka sasa wapo hatiani ya kuondoshwa kwenye michuano hii au kucheza play offs baada ya kuwa na mwanzo mgumu kwenye michuano hii wakiwa mpaka sasa hawajafunga hata goli moja na kupoteza mechi ya kwanza walipokutana na Ivory Coast.
Timu hiyo inaenda kukutana na bingwa mara 4 wa michuano hii, lakini pia moja ya timu ambayo ina wachezaji wenye ubora mzuri na ambao wanaweza wakabilisha matokeo muda wowote wa mchezo. Chini ya Julian Nagelsman Ujerumani imekuwa timu katili sana hasa eneo la ushambuliaji wakiwa na wachezaji kama Kai Havertz, Jamal Musiala, Kimmich na wengine wengi.
Ecuador wao imekuwa ni timu ambayo sio fanisi kwenye eneo la ushambuliaji, lakini pia wachezaji wao hawana ubora mkubwa kulinganisha na ule wa Ujerumani. Hatma yao ipo kwenye mechi hii ya leo lakini pia wakizingatia matokeo ya timu ya Ivory Coast yatakuwaje.