×

Dkt. Josephine Ateuliwa Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Dkt. Jesephine Rogate Kimaro kuwa katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar. Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Josephine alikuwa Naibu Afisa Mtendaji Mkuu katika Taaisi ya Afisi ya Rais,Ufuatiliaji na Usimamizi wa Utendaji Serikalini (ZPDB).

 

Leave a Comment