Nafasi za kazi zimetangazwa kwa wanawake pekee kwa ajili ya kufanya kazi kama Wahudumu wa Maduka katika maeneo ya Mlimani City na Posta, Dar es Salaam.
Mshahara: TSh 450,000 kwa mwezi.
Sifa za mwombaji:
- Awe mwanamke.
- Awe mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu.
- Awe na uwezo mzuri wa kuwasiliana na wateja.
- Uzoefu wa kazi ni faida.
Jinsi ya kuomba
Waombaji wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia WhatsApp: 0747065803.
Kumbuka: Nafasi hizi ni kwa wanawake pekee na nafasi ni chache. Waombaji wanashauriwa kutuma maombi mapema.
