×

Jay Dee azindua wimbo wake kwa kishindo Dar

DSC_1412-768x511

Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee akiwa katika pozi.

DSC_1431-768x511

Meneja wa Lady Jay Dee, Seven Mosha akifungua uzinduzi huo.

DSC_1435-1-768x511

Lady Jay Dee akitia saini hati ya makubaliano ya wimbo wake kuuzwa kupitia mtandao wa Mkito. Anayemshuhudia ni Meneja Masoko wa Mkito, Aishi Mengi.

DSC_1440-768x511

Meneja Masoko wa Mtandao wa Mkito, Aishi Mengi akitia saini ya makubaliano na Jide.

DSC_1441-768x511

Jide na Aishi wakikabidhiana hati.

DSC_1464-768x511

Lady Jay Dee akitoa neno muda mfupi kabla ya kuanza kugawa tuzo.

DSC_1471-768x511

Jide akiwa na moja ya tuzo alizozigawa usiku kwa watu wake wa karibu.

DSC_1476-768x511

Komando Jide akitoa tuzo kwa rafiki yake, Abdallah ambaye amekuwa akimpa sapoti kubwa kimuziki.

DSC_1482-768x511

Jide akitoa tuzo kwa mdau wake wa karibu kimuziki, Edward.

DSC_1490-768x511

Jide akimkabidhi tuzo msanii wa R&B, Rama Dee kama mtu wake wa karibu katika muziki.

DSC_1495-768x511

Jide akimkabidhi tuzo Monica Joseph kama mtu wa karibu pindi anapokwama kiuchumi.

DSC_1498-768x511

Jide akimpa tuzo ya heshima Mbunge wa Viti Maalum, CCM Arusha, Catherine Magige.

DSC_1501-768x511

Jide akitoa tuzo kwa shabiki wake wa karibu anayefuatilia muziki wake, Lucy Mosha.

DSC_1507-768x511

Jide akimpatia tuzo DJ Choka kama mmoja wa watu wake wa karibu kimuziki.

DSC_1512-768x511

Jide akimkabidhi tuzo rafiki yake wa karibu, Dori ambaye amekuwa msaada mkubwa katika maisha yake.

DSC_1521-768x511

Jide akimpa tuzo mwakilishi wa Benki ya CRDB kama watu wake wa karibu katika muziki wake.

DSC_1526-768x511

Jide akimpa tuzo mwanamitindo maarufu, Khadija Mwanamboka kama mtu anayetoa mchango mkubwa kwake.

DSC_1530-768x511

Jide akimpa tuzo rafiki yake wa karibu, Anitha.

DSC_1534-768x511

Jessica Malembeka akipokea tuzo kutoka kwa Jide.

DSC_1543-768x511

Komando Jide akipokea zawadi kutoka kwa rafiki yake, Ester Fayard.

DSC_1561-768x511

Muongoza vipindi wa Global TV, Salum Yassin akisalimiana na Jide muda mfupi kabla ya kuanza uzinduzi. Pembeni yake ni meneja wa Jide, Wakazi.

j2

Baadhi ya wahudhuriaji waliofika katika uzinduzi huo.

 

USIKU wa kuamkia Jumamosi ulikuwa maalum kwa mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee ambapo alikuwa akifanya ‘Listening Party’ ya wimbo wake wa Ndi Ndi Ndi.

Katika uzinduzi huo alioupa jina la Naamka Tena ulihudhuriwa na watu wengi wa karibu na Jide ambapo mbali na uzinduzi wa wimbo huo pia kulikuwa na hafla fupi ya ukabidhiwaji wa tuzo kwa watu waliotoa mchango mkubwa katika muziki wake na maisha kwa ujumla.

Akizungumzia uzinduzi huo, Jide alisema;

Msikilize Jaydee akiongelea uzinduzi wa wimbo wake mpya hapo juu.

Imeandaliwa na Andrew Carlos, Erik Evarist, Hilaly Daud, Salum Yassin na Shaban/ Global Publishers.

Leave a Comment