×

Serikali Yatangaza Nafasi za Kazi UDSM, MOI, ORCI na NIMR, Maombi Mwisho Oktoba 20, 2026

Dodoma. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) imetangaza nafasi 40 za ajira katika taasisi mbalimbali za umma nchini, zikiwemo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI), Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR).

Kwa mujibu wa tangazo hilo lenye kumbukumbu namba JA.9/259/01/62 la Oktoba 7, 2026, nafasi hizo zinalenga Watanzania wenye sifa zinazohitajika, uadilifu, uwezo wa kufanya kazi kwa matokeo na ari ya kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

BONYEZA HAPA >>NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA

Nafasi mbalimbali zatangazwa

1. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

  1. Laboratory Technician II (Mechatronics) — nafasi 1

  2. Laboratory Scientist II (Meteorology) — nafasi 1

  3. Information Communication Technology Officer II (Systems Security Specialist) — nafasi 1

  4. Cartographic Technician II — nafasi 1

  5. Medical Specialist II (Emergency Medicine) — nafasi 1

2. Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

6. Medical Specialist II (Anaesthesiologist) — nafasi 2

3. Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI)

  1. Medical Specialist II (Oncology) — nafasi 4

  2. Medical Specialist II (Radiology) — nafasi 1

  3. Medical Specialist II (Emergency Medicine) — nafasi 1

  4. Medical Specialist II (Maxillofacial Surgeon) — nafasi 1

  5. Medical Specialist II (Intensive Care) — nafasi 1

4. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)

  1. Audiologist II — nafasi 1

  2. Audiometrist II — nafasi 1

  3. Radiotherapist II — nafasi 1

5. Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR)

  1. Research Assistant II (Medicine) — nafasi 3

  2. Research Officer Grade II (Occupational Health and Safety) — nafasi 2

  3. Research Officer Grade II (Epidemiology) — nafasi 2

  4. Research Officer II (Paediatrics and Child Health) — nafasi 1

  5. Research Assistant (Medical Anthropologist) — nafasi 1

  6. Research Officer II (Biotechnologist – Genetics) — nafasi 2

  7. Research Officer II (Geoinformatics) — nafasi 2

  8. Research Officer II (Medical Anthropologist) — nafasi 1

  9. Research Officer II (Mental Health/Psychology/Psychiatrist) — nafasi 2

  10. Research Officer II (Obstetrics/Gynaecology/Maternal Health) — nafasi 2

  11. Research Officer II (Medical Rehabilitation Services) — nafasi 2

  12. Quality Assurance Officer Grade II (Health System Administration) — nafasi 1

  13. Quality Assurance Officer Grade II (Health Information Sciences) — nafasi 1

Taarifa muhimu kwa waombaji

    • Mwisho wa kutuma maombi: 20 Oktoba 2026.

    • Mahali pa kutuma maombi: .

    • Uraia: Mwombaji lazima awe raia wa Tanzania.

    • Umri: Usizidi miaka 45 kwa mujibu wa masharti ya jumla ya tangazo.

    • Nyaraka: Vyeti vya elimu vilivyothibitishwa, vyeti vya usajili wa kitaaluma vinapohitajika, cheti cha kuzaliwa, picha ya pasipoti na taarifa za wadhamini watatu.

      BONYEZA HAPA >>NAFASI ZA KAZI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA

Leave a Comment