×

PSG Kuivamia Le Havre, Baada Ya Ushindi Wa Mabao 2-0 Dhidi Ya Lyon

Huko ufaransa mambo yanazidi kupamba moto ambapo leo kutakuwa na Mchezo wa Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) kati ya Le Havre na Paris Saint-Germain (PSG) timu ambayo imetoka kutwaa tuzo ya timu bora ya soka kwa mwaka 2026 kwenye tuzo za Ballon D’or 2026, Mchezo huu unatarajiwa kuanza saa 21:00 usiku.

Ambapo kwenye mchezo huun Le Havre itakuwa mwenyeji wa pambano hilo, huku PSG ikiingia uwanjani ikiwa na lengo la kuendelea kupata matokeo mazuri na kuimarisha nafasi yake katika mbio za ubingwa wa ligi hiyo.

Macho mengi yataelekezwa kwa PSG kutokana na ubora na uzoefu wa kikosi chake, ambacho kina uwezo wa kutawala mchezo kupitia umiliki wa mpira na mashambulizi ya haraka. Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Lyon katika mchezo uliopita wa ligi, Oktoba 26, umeongeza matumaini ya timu hiyo kuendelea na mwenendo mzuri. Hata hivyo, PSG italazimika kuwa makini ili kuepuka kupoteza pointi muhimu ugenini.

Pia usisahau, mchezo huu unapatikana Meridianbet, ambako machaguo ni mengi na nafasi za kujaribu bahati yako hazikosekani. Jisajili leo, chagua odds zako na ufurahie msisimko wa mchezo!

Kwa upande wa Le Havre, changamoto kubwa itakuwa kuimarisha safu yake ya ulinzi na kutumia vizuri nafasi za kufunga. Timu hiyo ilitoka kupoteza kwa mabao 4-3 dhidi ya Marseille Oktoba 25, licha ya kufunga mabao matatu katika mchezo huo. Matokeo hayo yanaonyesha kuwa Le Havre inaweza kutishia lango la wapinzani, lakini inahitaji kupunguza makosa ya kujilinda ili kuwa na nafasi ya kupata pointi.

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema.  Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Historia ya kukutana kwa timu hizi pia inaipa PSG matumaini, kwani imekuwa na matokeo mazuri dhidi ya Le Havre katika misimu ya hivi karibuni. Hata hivyo, mwenyeji anaweza kutumia uwanja wake na hamasa ya mashabiki kutafuta matokeo tofauti. Kwa PSG, ushindi utakuwa muhimu katika kuendeleza mbio za ubingwa, huku Le Havre ikihitaji pointi ili kujinasua katika eneo la chini la msimamo.

Leave a Comment