
Siku ya kuondoka na pesa ndefu pale Meridianbet imefika ambapo leo kuna mechi kali sana ambazo zitapigwa kuanzia kule Uingereza mpaka Ufaransa. Odds kubwa zinakungoja sasa.
Ligi kuu ya Italia, SERIE A mechi ni kali sana ambapo Atalanta atakipiga dhidi ya Inter Milan ambao wapo nafasi ya 2, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi zao 14.
Mara ya mwisho kukutana kati yao hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao, hivyo hii ni mechi ambayo kila timu inahitaji kupata matokeo kutokana na presha ambayo ipo kwenye ligi kwani kila mechi ni kama fainali. Tandika jamvi lako la ushindi hapa.
Kwa upande wa LIGUE 1 kule Ufaransa nako kuwaka haswa kwa mechi nyingi, lakini pesa ipo kwenye mechi hii ya Marseille dhidi ya Le Mans timu ambayo ndiyo kwanza imepanda ligi kuu msimu huu na sasa ipo nafasi ya 15, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 4.
Wenyeji wanataka pointi 3 za ushindi kwani zitawafanya wasogee hadi nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi, huku wageni nao hii mechi wanaitazama kwa jicho lingine ili waweze kujitoa kwenye nafasi waliyopo. Suka jamvi mechi hii.
Tengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Hispania kule pia LALIGA kitawaka haswa, mabingwa watetezi wa ligi, FC Barcelona watakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Villarreal ambao wapo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi baada ya kukusanya pointi zao 15.
Vita ya kuwania nafasi ya kwanza inazidi kupamba moto huku vijana wa Hans Flick wakihitaji ushindi kuendelea kujikita kileleni na mechi hii Nyambizi wa Njano wao wanahitaji kulipa kisasi kwani mechi zilizopita walipoteza zote.
Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Barca kutokana na ubora wao ambao wameonesha kwenye ligi msimu huu. Machaguo zaidi ya 1000 hapo kwenye mechi hii, ingia na jisajili hapa.
Uingereza EPL kuendelea kwa mechi mbili mapema kabisa Brighton atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Hull City ambao wamepanda daraja msimu huu na wpao nafasi ya 13 hadi sasa huku wageni wao wakiwa nafasi ya 2 hadi sasa.
Brighton chini ya kocha mkuu Hurzeler wamekuwa ni moja ya timu za kuogopwa kwani imekuwa ikipata matokeo mazuri kwenye mechi zao wanazocheza kwani tofauti yao ni kinara ni pointi 5 pekee. Timu zote mbili zinahitaji ushindi. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine kali kabisa ambayo itakuwa ikisubiriwa kwa hamu ni hii ya Liverpool dhidi ya Manchester United ambao wapo na hali mbaya kwenye ligi wakiwa nafasi ya 3 kushuka chini kwenye msimamo wa ligi. Liver wao wapo nafasi ya 4 kwenye ligi huku wakitarajia kushinda mechi hii pale Anfield.
Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho timu hizi mbili kukutana msimu uliopita Liverpool wamepoteza zote, na sasa Man United wapo chini ya kocha mkuu Pochettino. Je wataanza ligi kwa ushindi?. ODDS KUBWA zipo hapa.
