×

Juventus, Lyon na Bournemouth Kuisaka Raha ya Ushindi Leo

Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa.

Juventus atakipiga dhidi ya Omonia Nicosia ambao kwenye mashindano haya mpaka sasa wapo nafasi ya 18, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 5 na wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na morali nzuri kabisa baada ya kushinda mechi ya ligi.

Juventus wanatarajiwa kutawala mchezo na kutumia faida ya kucheza nyumbani. Omonia wanaweza kujikita zaidi katika kujilinda, lakini wakishindwa kuhimili presha ya wenyeji, wanaweza kuruhusu mabao mapema. Beti hapa.

Pia naye Lyon atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Lillestroem ambao wamekusanya pointi 1 pekee kwenye michezo minne ambayo wamecheza hadi sasa huku wenyeji wao wakiwa wamekusanya pointi 7.

Kule Meridianbet anampa nafasi kubwa ya kushinda Meridianbet huku nafasi ya wewe kuibuka na ubingwa ikikungoja leo. Nani kuondoka na ushindi?. Suka jamvi hapa.

Mshindo mkubwa upo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Crystal Palace wao wataumana dhidi ya Real Sociedad kutoka kule Hispania huku wenyeji wao wakiwa na hali mbaya kwenye msimamo wa ligi wakishika nafasi ya mwisho.

Palace Wameshinda mchezo mmoja pekee kati ya mitano iliyopita katika mashindano yote, hali inayowaongezea presha ya kutafuta ushindi mbele ya mashabiki wao.

Wakati Sociedad wao wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na uwezo mzuri wa kucheza kwa pasi na kumiliki mpira. Wachezaji kama Mikel Oyarzabal, Gonçalo Guedes na Orri Óskarsson wanaweza kuwa tishio kubwa kwa ulinzi wa Palace.

Sociedad wameonyesha uimara mzuri zaidi wa kiulinzi kwenye Europa League msimu huu, wakiruhusu wastani wa bao moja kwa mchezo. Hata hivyo, kushindwa kupata matokeo mazuri ugenini kunaweza kuwa changamoto yao. Bashiri hapa.

Mechi nyingine ni hii ya Celta Vigo dhidi ya Bournemouth ambao wamekuwa na mwendelezo mzuri kwenye ligi kuu ya Uingereza wakishika nafasi ya 5 wakishinda mechi zao 5 za mwisho kwenye mashindano yote.

Celta Vigo wametoka kupoteza mechi yao iliyopita kwenye ligi hivyo hii ni mechi ambayo wapo nyumbani na ushindi ndio kitu ambacho wanahitaji ili kurudisha morali kwa wachezaji wao.

Timu hizi kwenye takwimu zinaonesha kuwa hazijawahi kukutana, hii ndio mara ya kwanza. Je nani atandoka na uhsindi?. Jisajii hapa.

 

Leave a Comment