×

Mechi za Leo Hizi Hapa, Nottingham vs Chelsea, Paris vs Brest, Nani Kutoboa

Je unajua kuwa dakika 90 za mwamuzi zikilia zinakupa nafasi ya wewe kupata ushindi?. Tengeneza jamvi lako la ushindi na ubashiri mechi uzitakazo na wakali wa ubashiri leo.

Ligi kuu ya Ufaransa, yaani LIGUE 1 ambapo Paris atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Brest huku Meridianbet wakisema kuwa ushindi wa mechi huu unaenda kwa mgeni kutokana na ubora ambao anazidi kuuonesha kwenye ligi.

Mpaka sasa Paris kwenye msimamo wa ligi yupo nafasi ya 2 akiwa nyuma pointi 3 dhidi ya kinara wa ligi, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi zao 18. Mara ya mwisho kukutana Paris aliondoka na ushindi kwenye mechi zote mbili.

Je leo hii nani unampa beti yako ya ushindi kwenye mechi hii ya leo?. Suka jamvi lako la ushindi hapa.

Bila kusahau ligi kuu ya Ujerumani BUNDESLIGA itaendelea kwa mechi moja leo ambapo Werder Bremen atamenyana dhidi ya Borussia Monchengladbach ambao msimu huu umekuwa mbovu sana kwao kwani mpaka sasa mwisho wakikusanya pointi 4 pekee, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 6.

Kila timu inataka ushindi huku Meridianbet wao wakimpa nafasi kubwa ya ushindi mwenyeji kutokana na ubora wake ambao aemendelez akuonesha kwenye mechi za hivi karibuni za ligi. Beti sasa.

Mshiko mkubwa upo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia kuu ya Uingereza, EPL kuendelea ambapo Nottingham Forest atakuwa mwenyeji wa Chelsea ambaye lipoteza kwa kipigo kizito mechi yake iliyopita. Forest mpaka sasa wapo nafasi ya 17 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 8. Msimu uliopita walipokutana kila timu ilishinda kwa mwenzake.

Pointi 3 ni muhimu kwa timu zote mbili huku vijana wa Alonso wakihitaji kupata ushindi kwenye mechi hii ya leo ili kuweza kujieka kwenye nafsi nzuri kwenye msimamo wa ligi. Odds kubwa zipo kwenye mechi hii. Bashiri sasa.

Vilevile kule Hispania LALIGA kutakuwa na mtanange mmoja wa kukata na shoka ambapo Levante ataumana dhidi ya Racing Santander ambao wanashika nafasi ya 7 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi.

Mwenyeji alipata sare kwenye mechi yake iliyopita, huku mgeni yeye akipata ushindi kwenye mtanange wa mwisho. Hii ni mechi ya ushindani hasa baada ya mwenyeji kutaka kufanya ushindi akiwa nyumbani kwake. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Jisajili hapa.

Leave a Comment