
Je unajua kuwa wikendi iliyopita kuna watu wameweza kubadili maisha yao kwa dau dogo kabisa la shilingi mia tano?. Huenda leo ikawa ni nafasi yako na wewe na unachotakiwa kufanya ni kutengeneza jamvi lako na ubeti sasa.
Tukianza na Ligi kuu Ujerumani, BUNDESLIGA kuna mechi za kukata na shoka ambapo mabingwa wa ligi Bayern Munich baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Humburger ambao wamepanda daraja msimu huu.
Vijana wa Vicent Kompany wameandamwa na jopo la wachezaji wenye majeruhi na hivyo kusababisha kushindwa kujipatia ushindi kwenye mechi zao mbili hadi sasa kwenye mashindano yote, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA zipo hapa kwenye mechii. Bashiri sasa.
Jipigie mshiko mkubwa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kule Uingereza EPL itawaka moto haswa ambapo vijana wa Pochettino Manchester United watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Brentford ambao wapo nafasi ya 6 huku United wao wakiwa nafasi ya 19 yaani ya pili kutoka mwisho.
Takwimu zinaoesha kuwa mara ya mwisho kukutana, United aliondoka na ushindi, huku kwenye mchezo huu ni muhimu kwa Mashetani Wekundu kuondoka na ushindi kwani ushindi wa mwisho ulikuwa ni mwezi wa 8.
Je Pochettino anaweza akapata ushindi wake wa kwanza kwenye mechi hii?. Au Nyuki wanaweza wakapata ushindi ugenini?. Jisajili hapa.
LALIGA nayo kitawaka ambapo Real Madrid wataumana dhidi ya Deportivo Alaves ambao wanashika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi, huku Real wao wakiwa nafasi ya 2 wakihitaji ushindi huu nyumbani kwa hali na mali wakikimbizana kwenye mbio za ubingwa.
Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana kati yao Real aliondoka na ushindi kwenye mechi zote mbili. Je Mourinho na vijana aek kuendelea ushindi kwnai mpaka sasa wameshinda mechi 10 mfululizo kwenye mashindnao yote. Bashiri sasa.
SERIE A kule Italia kitawaka pia ambapo vinara wa ligi Lazio atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Torino huku tofauti yao hadi sasa ikiwa ni pointi 18 na vijana hao wa Gattuso wameendelea kuonesha ubora wao kwenye ligi hadi sasa wakiwa hawajapoteza mchezo hadi sasa.
Hii ni mechi nyingine na atakuwa ugenini huku ushindi ndio kitu pekee ambacho anakitaka ili kuendelea kujiweka kwenye nafasi ya kwanza msimamo wa ligi. Je Torino anaweza akaharibu ushindi wa wageni wao?. Jisajili hapa.
LIGUE 1 nayo, PSG atamleta kwake Lorient ambao wapo nafasi ya 10 kwenye msimamo wa ligi. Vijana wa Enrique wanahitaji kupata ushindi kwani mbio za ubingwa zinazidi kunoga huku wakiendelea kuwakosa wachezaji wake muhimu wakiemo kina Desire ambaye pia aliumia mechi iliyopita. Bashiri hapa.
