×

Ratiba ya Mechi za leo na Kesho UEFA

32E9664600000578-3534837-image-a-1_1460410379406

Wachezaji wa Man City.

Mechi za Marudiano za Robo Fainali ya michuano ya Uefa zinaendelea tena leo Jumanne na jumatano kwa michezo minne, ambapo jumanne kutachezwa mechi mbili .

Mechi za leo Jumanne

Manchester City vs  Paris St-Germain Uwanja wa  Etihad

Bernabeu Real Madrid Vs VfL Wolf-sburg Uwanja wa Santiago 

Siku ya Jumatano Benfica watawakaribisha Bayern Munich ,na Atletico Madrid watakuwa wenyeji wa Barcelona.

1 Comment

Leave a Comment