
Aliyekuwa Askofu wa Jimbo la Dodoma mhashamu baba Askofu Mathias Isuja Joseph.
Aliyekuwa Askofu wa Jimbo la Dodoma mhashamu baba Askofu Mathias Isuja Joseph amefariki alfajiri hii mjini Dodoma
Alisimikwa kuwa askofu wa jimbo katoliki la Dodoma tangu mwaka 1972 na baadae kustaafu kwa mjibu wa sheria mwaka 2005.
Amefariki leo alfajiri na alikuwa anapigana na salatani ya damu kwa miaka zaidi ya mitano.
Atazikwa ndani ya kanisa kuu la mtakatifu Paulo wa msalaba tarahe itakayotangazwa hapo baadae
Mungu aiweke roho ya askofu Mathias Isuja Joseph mahali pema peponi