×

Wanafunzi wa masomo ya Ict watembelea duka la Airtel

caption 1

Afisa wa huduma kwa wateja wa Airtel, Boaz(kushoto) akifafanua matumizi ya modem ya maajabu ‘wingle’ kwa wanafunzi washiriki wa mashindano   ya ICT kwa wasichana hapa nchini yaliyoandaliwa na UCAF ( Universal  Communications Services Access Funds ) wakati walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka la Airtel Expo katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam. Mahindano hayo ya kuwajenga wasichana katika masomo ya teknololojia ya mawasiliano yanadhanimiwa na Airtel Tanzania chini ya UCAF.

caption 2Afisa wa huduma kwa wateja wa Airtel Bw Stephen Makongoro (katikati)  akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi washiriki wa mashindano   ya ICT kwa wasichana hapa nchini yaliyoandaliwa na UCAF ( Universal  Communications Services Access Funds ) wakati walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka la Airtel Expo katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam. Mahindano hayo ya kuwajenga wasichana katika masomo ya teknololojia ya mawasiliano yanadhanimiwa na Airtel Tanzania chini ya UCAF.

IMG_4479

Wanafunzi washiriki wa mashindano   ya ICT kwa wasichana hapa nchini yaliyoandaliwa na UCAF ( Universal  Communications Services Access Funds ) wakiwa katika picha ya pamoja  wakati walipofanya ziara ya kimafunzo katika duka la Airtel Expo katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam. Mahindano hayo ya kuwajenga wasichana katika masomo ya teknololojia ya mawasiliano yanadhanimiwa na Airtel Tanzania chini ya UCAF.

Leave a Comment