
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteua Mathias Chikawe kuwa balozi wa Tanzania nchini Japan.
Taarifa iliyotolewa leo 18 Aprili, 2016 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, imeeleza kuwa uteuzi wa Chikawe umeanza Aprili 13, 2016.