The House of Favourite Newspapers

Walokole Wazichapa Laivu, Kisa Penzi

0

walokole (2) Timbwili likazua balaa.

Stori: Francis Godwin, UWAZI
IRINGA: ‘Jaribu la mtu si kwamba kaomba, bali ni kikombe tu lazima akinywe’, huu ni  wimbo ulioimbwa na mwimbaji mmoja wa nyimbo za Injili maarufu nchini.

  • Waumini wa Kanisa la Tanzania Assemblies  of God (TAG) la mjini Iringa wamezichapa laivu mchana kweupe.
  • Wadaiwa kugombea uhusiano.
  • Ni baada ya mmoja wao adai kuchukuliwa mme wake wa ndoa.
  • “…. amekuwa akipiga simu kwa mume wangu na kupanga namna ya kukutana na si mara moja, ni mara nyingi tu hivyo nilichokifanya mimi ni kuanza  kuifuatilia namba yake na kumtafuta hadi hapa kazini kwake kuja kumshikisha adabu,” alilalama mwanamke huyo.

walokole (3)Wakiachanishwa na wasamria wema.

  • “Kweli …. nilimshika na  kuanza kumchapa vichwa… kama fundisho la kukaa mbali na mume wangu. Mimi mume  wangu ‘amechunwa’ pesa zote za bodaboda…” alisema Joyce.
  • Aliyechapwa vichwa naye afunguka yaliyomkuta.
  • Aelezea shutuma ya kuiba bwana wa mtu.
  • Timbwili lote A-Z soma Uwazi.

walokole (1)

KUFAHAMU YOTE HAYA NA MENGINE, NUNUA GAZETI LA UWAZI, LEO April 26, 2016

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave A Reply