Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Mwibara, Kange Lugola, bungeni mjini Dodoma leo Aprili 25, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sere,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (katikati na Mwanansheria Mkuu wa Serikali, George Masaju.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sere,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango
Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) akiteta na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt,. Hussein Mwinyi.
Mwenyekiti wa Bunge Dkt. Mary Mwanjelwa (kushoto) akiteta na Mbunge wa Viti Maalum Grace Kiwelu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma leo Aprili 25, 2016. Katikati ni Mbunge wa Urambo, Margaret Sitta.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).





