×

Safaree apata mrithi wa Nick Minaj

Safaree-press-2016-billboard-650Safaree Samuels

Aliyekuwa mpenzi wa Nicki Minaj, Safaree Samuels anadaiwa kupata kifaa kingine ambacho kinafa hamika kwa jina la Nikki Mudarris.

Wawili hao wanadaiwa ni wapenzi baada ya kunaswa huko Katsuya wakio neshana malovelove huku kila mmoja akidaiwa kumzimikia mwenzake.Nikki+Mudarris+Safaree+Samuels+their+first+StyjNcnd_Pvl

Nikki Mudarris   na Safaree Samuels

Rafiki wa karibu wa Nikki aliuambia mtandao mmoja wa habari za
mastaa kuwa, Safaree alifanya juu chini kumpata mrembo huyo kwani anafanana na Nicki kwa vitu vingi na wana mpango wa kuwa mwili mmoja.

Leave a Comment