The House of Favourite Newspapers

Imarisha mfumo wa kinga mwilini

0

herd-immunity-vs-viral-shedding

Hakikisha unaimarisha mfumo wako wa kinga ya mwili kwa kula vizuri, kupumzika vya kutosha na kufanya mazoezi. Jitahidi kupumzika vya kutosha na kuepuka kukumbwa na mfadhaiko.

Kabla ya kusafiri hakikisha unatumia dawa za kuzuia magonjwa.

Inashauriwa kwa mtu yeyote kumuona daktari haraka kwani magonjwa mengi yanaweza kutibiwa iwapo yanagunduliwa mapema.

Hakikisha ugonjwa wako umetambuliwa kwa usahihi kwa kuwaona madaktari wanaotibu magonjwa yanayoambukizwa na wadudu.

Mweleze dalili zako zote na maeneo yote ambayo umesafiri, hata sehemu ulizotembelea zamani. Daktari akikupima na kugundua una ugonjwa na akakupa dawa, tumia vidonge vyote.

KUNUNUA NA KUSOMA MAGAZETI YA GLOBAL PUBLISHERS ONLINE, INGIA HAPA==>VODACOM M-PAPER APP

*********

JIUNGE NA SOCIAL MEDIA ZETU:

KWA HABARI ZA KITAIFA, KIMATAIFA, MASTAA NA MIKASA YA KUSISIMUA

INSTAGRAM: @Globalpublishers

ERIC SHIGONGO INSTAGRAM: @ericshigongo

TWITTER: @GlobalHabari

FACEBOOK: @GlobalPublishers

SUBSCRIBE YOU TUBE: GlobalPublishers

GLOBAL TV ONLINE: www.globaltvtz.com

HADITHI ZA KUSISIMUA NA MBINU ZA UJASIRIAMALI, ERIC SHIGONGO FACEBOOK PAGE: @shigongotz

Leave A Reply