Mwananmuziki Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa.
Wakali wengine wanaowania tuzo hiyo ni pamoja na Wizkid, Yemi, AKA na wengineo.

Tuzo hizo zitatolewa mwishoni mwa mwezi Juni nchini Marekani.

Jaman mond mnyama cjaona tz aly kiba atafute saiz yake maana huyu si xaiz yake .kila la her bro