×

Picha: Shoo ya Miaka 10 ya Bella Ilivyotikisa Jiji la Dar

MIAKA 10 YA BELLA (16) MIAKA 10 YA BELLA (17) MIAKA 10 YA BELLA (18)
MIAKA 10 YA BELLA (5) MIAKA 10 YA BELLA (6) MIAKA 10 YA BELLA (7) MIAKA 10 YA BELLA (8) MIAKA 10 YA BELLA (9) MIAKA 10 YA BELLA (10) MIAKA 10 YA BELLA (11) MIAKA 10 YA BELLA (12) MIAKA 10 YA BELLA (13) MIAKA 10 YA BELLA (14) MIAKA 10 YA BELLA (15)

MIAKA 10 YA BELLA (1) MIAKA 10 YA BELLA (2) MIAKA 10 YA BELLA (3) MIAKA 10 YA BELLA (4)

Usiku wa kuamkia leo mwanamuziki nguli wa Muziki wa Dansi, Christian Bella alisherehekea kutimika miaka 10 katika muziki ambapo alifanya shoo kabambe iliyowahusisha wasanii mbalimbali, mastaa na baadhi ya viongozi wa serikali. Shoo hiyo ilifanyika katika ufukwe wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyochukua nafasi usiku huo.

Leave a Comment