Mwakilishi kutoka Ting, Betty Bonzon (kushoto) akimkabidhi king’amuzi mwakilishi wa Kigodi Rajab ambaye ni mmoja wa washindi wa ving’amuzi kutoka katika Droo Ndogo ya mwisho ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa na Global Publishers.
Esther Meshack (kulia) akipokea king’amuzi kutoka kwa Mwakilishi kutoka Ting, Betty Bonzon.
Washindi wa ving’amuzi vya Ting wakiwa katika pozi na zawadi zao mara baada ya kukabidhiwa kwenye ofisi za Global Publishers zilizopo Mwenge- Bamaga jijini Dar jana.


