YALIYOMO KWENYE GAZETI LA RISASI JUMATANO
Zari anasa ujauzito
Ni miezi 8 tu tangu amzae Tiffah
Familia yamshangaa
Wolper nusura apigwe risasi sheli
Ilikuwa ni saa 5 usiku
Akimbilia kwenye gari na kutoka nduki
Ukweli wa afya ya Ndugai umeelezwa kwa kina kwenye gazeti la Risasi
Shamsa: Napiga kazi mwezi mtukufu
MBaroni kwa kuuza bangi mkesha wa mwenge!!
Mbuzi wa ajabu watikisa Dar
Wanajichunga wenyewe
Ukiwagusa yanakukuta mazito
Risasi limeanika yote.