×

Undani ndoa ya siri ya D’ Banj huu hapa!

27BAADA ya wiki iliyopita kufunga ndoa kwa siri na mchumba wake, Didi Kilgrow, rafi ki wa karibu na staa wa muziki Naija, Dapo  Oyebanjo ‘D’Banj’ ametoboa siri ya ndoa hiyo kuwa D’ Banj hakutaka kumualika rafiki huyo alisema kuwa siku hiyo, D’Banj alikuwa akitaka kisha ya kimila ndani  moja pasipo chombo chochote cha habari wala staa yeyote kujua.

D’Banj aliyewahi kubamba na Ngoma ya Koko alifanikiwa kufunga ndoa ya kidini na Didi Jumamosi iliyopita pande za Ikoyi kisha ikafuatiwa ndoa ya kimila nyumbani kwao, Maryland, Lagos.

Leave a Comment