×

Wanajeshi 104 wauawa wakitka kumpindua rais wa Uturuki

Turkey (2)

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan (ktikati) baada ya kujitokeza.

Istanbul, Uturuki

Naibu Nkuu wa Jeshi la Uturuki ametangaza kwa njia ya runinga kuwa jaribio la mapinduzi ya kijeshi limeshindwa.

160716082847_weapons_soldiers_turkey_coup_640x360_getty_nocreditJenerali Umit Dundar alisema kuwa wapanga mapinduzi 104 wameuauwa. Pia amesema kuwa watu wengine 90 wakiwemo polisi na raia wameuawa.

Turkey (13)

Usiku kucha miji ya Ankara na Istanbul ilikumbwa na milio ya risasi na milipuko baada ya wanajeshi waasi kufanya mashambulizi wakitumia vifaru na helikopta.Turkey (14)

 

Maafisa wanasema kuwa zaidi ya wanajeshi 1500 wamekamatwa huku wale wa vyeo vya juu wakiwemo majerali wakipokonywa nyadhifa zao.

3654FAD300000578-3693268-image-a-36_1468668583736 36543B9200000578-3693268-image-a-21_1468666225492 36544A6900000578-3692693-image-m-4_1468658263995 365450F000000578-3692693-image-a-10_1468658313719 3654484D00000578-3693268-image-a-23_1468666231147 3654286300000578-3693268-image-a-31_1468668548132

Leave a Comment