Watu 26 wameripotiwa kufariki China leo
Global Publishers
July 19, 2016
4,536 views
0 Comments

Basi la watalii lililowaka moto likiwa barabarani wakielekea uwanja wa ndege wa Taoyuan, Taiwan, China.

Wakiendelea kuzima moto huo.
Watu 26 leo wameripotiwa kufariki kwenye ajali ya basi la watalii lililowaka moto likiwa barabarani wakielekea uwanja wa ndege wa Taoyuan, Taiwan, China.