Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limetangaza kuwa limetoa majina ya Watahiniwa waliyochaguliwa kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada kwa mwaka wa masomo 2016/2017.
Waombaji waliochaguliwa kwa kila kozi itolewayo na chuo husika yamekabidhiwa vyuoni kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS).
Waombaji waliochaguliwa wamearifiwa kupitia kurasa (profile) zao binafsi au kwa KUBOFYA HAPA.