The House of Favourite Newspapers

Mastaa wa Mwendokasi Festival Wapagawisha Dar

0

 

Mwendokasi Festival (10)

Mwendokasi Festival (6)

Mwendokasi Festival (12)

Mwendokasi Festival (5)

Snura na wacheza shoo wake wakilitawala jukwaa.

Mwendokasi Festival (1)

Msanii Barnaba Boy akitumbuiza kwenye Tamasha la Mwendokasi usiku wa kuamkia leo.

Mwendokasi Festival (2)

Mtangazaji wa Clouds FM,  Adam Mchomvu ambaye alikuwa mshereheshaji (MC) akifurahia jambo na raia wa kigeni.

Mwendokasi Festival (3)

Msanii Snura akiwa kwenye pozi na meneja wake HK.

Mwendokasi Festival (4)

Msanii chipukizi akikamua.

Mwendokasi Festival (7)

Nuh Mziwanda  na wacheza shoo wake wakikamua wimbo wa  Jike Shupa.

Mwendokasi Festival (8)

Msanii Rucky Baby akiwa kwenye pozi.

  Mwendokasi Festival (11)  Mwendokasi Festival (13)

Mashabiki wakifuatilia burudani.

Mwendokasi Festival (14) Mwendokasi Festival (15)

R.O.M.A akifanya yake.

Mwendokasi Festival (16)

Mchomvu akiwa kwenye pozi.

Mwendokasi Festival (17)

Rucky Baby akitumbuiza.

MASTAA mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva usiku wa kuamkia leo walitoa burudani kali katika Viwanja vya Posta jijini Dar kwenye Tamasha la Mwendokasi.

Tamasha hilo lilianza majira ya mchana mpaka usiku wa manane likiwa na steji ya kuvutia, misosi mbalimbali na ‘mitungi’ vyote hivyo vikipambwa na mastaa kibao wa muziki huo walioporomosha bonge ya burudani kwa mashabiki wao.

Baadhi ya mastaa waliokinukisha ni Isha Mashauzi, Juma Nature, Rich One, Mabaga Fresh, Man Fongo, G. Nako, Lord Eyes, Navy Kenzo, Snura, Nay wa Mitego, Barnaba Boy na Mbeya City.

Tamasha hilo lilikuwa maalumu kwa uzinduzi wa App ya Klobaa ambayo inampa mpenda burudani nafasi ya kujua maeneo ya kula bata kwa siku husika.

Leave A Reply