×

Tonto Dikeh awa bonge nyanya

Tonto-Dikeh-Acc-Yobo-2IKIWA imepita miezi sita tangu ajifungue mtoto wa kiume, mkongwe wa fi lamu za kutisha Nollywood, Tonto Dikeh amezua gumzo mitandaoni kwa kuwa bonge.

Kupitia mitandao ya kijamii, Tonto alitupia picha akisaini mkataba huku amezungukwa na watu kisha baada ya muda akatupia nyingine ikimuonesha peke yake na kusema kuwa ameongezeka kwa sababu ananyonyesha.

Baada ya kutupia picha hizo, mashabiki wake walimponda na wengine wakimtaka apungue.

Leave a Comment