×

Ijumaa lapasua anga za Mvuti, wasomaji walichangamkia

1.Msomaji wa Ijumaa aitwaye, Bakari Mohammed (kushoto) Mkazi wa Charambe akielekezwa jambo na ofisa masoko wa Global,Yohana Mkanda.  Msomaji wa Ijumaa aitwaye, Bakari Mohammed (kushoto) Mkazi wa Charambe akielekezwa jambo na ofisa masoko wa Global,Yohana Mkanda.

2.Muuzaji wa Magzeti ya Global, Mwamvita Rashid (kulia) akimuuzaia msomaji wa Ijumaa aitwaye, Keni Ally mkazi wa Charambe.Muuzaji wa Magzeti ya Global, Mwamvita Rashid (kulia) akimuuzia msomaji wa Ijumaa aitwaye,  Keni Ally, mkazi wa Charambe.

3.Nasoro Abdallaha (kushoto) akinunua gazeti la Ijumaa kwa muuzaji wa Global.Nasoro Abdallah (kushoto) akinunua Gazeti la Ijumaa kwa muuzaji wa Global.

4.Mwanamama aitwaye, Halima Loyo akilisoma gazeti la Ijumaa.Mwanamama aitwaye, Halima Loyo akilisoma Gazeti la Ijumaa.

5.Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda (wa kwanza kulia)akimpatia ufafanuzi wa jambo msomaji wa gazeti la Ijumaa.Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda (wa kwanza kulia)akimpatia ufafanuzi wa jambo msomaji wa Gazeti la Ijumaa.

6.Wadau wa Gazeti la Ijumaa wa Kituo cha daladala cha Chanika jijini Dar wakilisoma gazeti la Ijumaa.Wadau wa Gazeti la Ijumaa wa kituo cha daladala cha Chanika jijini Dar wakilisoma Gazeti la Ijumaa.

7.Wasomaji wa Ijumaa wa eneo la Chanika wakifuatilia kwa makini habari zilizokuwa ndani ya gazeti hilo.Wasomaji wa Ijumaa wa eneo la Chanika wakifuatilia kwa makini habari zilizokuwa ndani ya gazeti hilo.

8.Halima Hilaly (kulia) na Eva Joseph wakazi wa Chanika wakilisoma gazeti la Ijumaa.Halima Hilaly (kulia) na Eva Joseph wakazi wa Chanika wakilisoma gazeti la Ijumaa.

9.Mdau mkubwa wa gazeti la Ijumaa, Kevin Joseph (kushoto) maarufu kwa eneo la Chanika muuza supu akinunua gazeti la Ijumaa kwa Mwamvita.Mdau mkubwa wa gazeti la Ijumaa, Kevin Joseph (kushoto) maarufu kwa jina la Muuza Supu wa Chanika akinunua gazeti la Ijumaa kwa Mwamvita.

10.Liberator Msigwa na Angel Msuya wakiwa ndani ya salon yao iitwayo Angel Beauty Salon wakilisoma gazeti la Ijumaa eneo la Chanika Dar.Liberator Msigwa na Angel Msuya wakiwa ndani ya salon yao iitwayo Angel Beauty Salon wakilisoma Gazeti la Ijumaa eneo la Chanika Dar.

11.Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda (kulia) akimfafanulia jambo msomaji wa Ijumaa, aitwaye,Maua Musa.Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda (kulia) akimfafanulia jambo msomaji wa Ijumaa, aitwaye,Maua Musa.

WASOMAJI mbalimbali wa maeneo ya Mvuti, Mbande, Charambe, Chanika nje ya jijini Dar wamezidi kulifurahia Gazeti la Ijumaa lenye muonekano mpya linalotoka mtaani kila Ijumaa.

Leo liiliwafikia wakazi wa maeneo hayo ambapo wasomaji mbalimbali walijitokeza kwa wingi kwenye gari la matangazo la gazeti hilo na kulichangamkia kulinunua.

Akizungumza na wakazi eneo la Mvuti, Ofisa Masoko wa Kampuni ya Global Publishers inayozalisha gazeti hilo pamoja na Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa Wikienda na Championi, Yohana Mkanda, alisema anawaomba wasomaji wa magazeti hayo ya Global kuendela kulinunua Ijumaa kwa bei ya Sh.1000 kwani limesheheni habari nyingi za burudani, hadithi, machombezo na mikasa ya kusisimua.

“Magazeti yote ya Global yanauzwa kwa shilingi 500 isipokuwa Ijumaa pekee lenye muonekano mpya ndilo linauzwa shilingi 1,000. Niwasihi wasomaji wetu waendelee kununua magazeti yetu ili wazidi kuhabarika, kuelimika na kuburudika,” alisema Mkanda.

NA DENIS MTIMA/GPL

Leave a Comment