×

G Nako afungukia weusi kuzimana kimuziki

g nakoStori; Boniphace Ngumije

MKALI wa kurap Bongo, George Mdemu ‘G Nako’ amefunguka kuwa watu wanaosema wasanii wa kampuni analopigia mzigo la Weusi yaani yeye, Joh Makini pamoja na Nikki wa Pili wanazimana kwa kutoa ngoma mfululizo hawana ufahamu mzuri kuhusu biashara ya muziki.

Akistorisha na Uwazi Showbiz, G Nako aliendelea kufunguka kuwa wanachofanya Weusi ni kila msanii kusimama yeye kama yeye ambapo wanapotoa ngoma kwa kufuatana ni mbinu za kampuni kuliteka soko muda wote.

“Ngoma zetu muda wote ni kali ni vigumu sisi kuzimana, anapotoa Joh, nikitoa mimi na Nikki jambo hilo linafanya sokoni tuenee sisi wenyewe. Huwezi kukwepa kuisikiliza Alosto, Perfect Combo au wimbo wa Nikki huu Sweet Mangi, kwa hiyo watu waelewe tu hizo ni  mbinu za kibiashara zilivyo kuhakikisha soko linakuwa letu,” alisema G Nako.

Binti wa Miaka 19 Aliye Tembea na Wake za Watu Ndiye Huyu Hapa-Part I

PT 2- Binti wa Miaka 19 Aliye Tembea na Wake za Watu Ndiye Huyu Hapa-Part I

Mzungu Dar Afumwa Live Akilawitiwa na Vijana 3, O.F.M Yanyaka Tukio Zima

Leave a Comment