×

Fiesta 2016 Imoo Yatikisa Jiji la Mwanza

wizkid (2) wizkid (4) wizkid (5)

Mwanamuziki Wizkid kutoka Nigeria akifanya yake stejini wakati wa uzinduzi rasmi wa shoo za Fiesta 2016 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo. 

Baada ya shoo hiyo hiyo, Wizkid aliwashukuru hivi mashabiki kupitia ukaunti yake ya Instagram.

alikiba

Mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba akifanya yake jukwaani.

man fong na shishi manfongo (2) manfongo na shishi (2)  Shilole na Man Fongo wakilishambulia jukwaa la Fiesta 2016 jijini Mwanza.

 ben pol (1) ben pol (2)

Ben Pol akilimiliki jukwaa la Fiesta.

chege (1) chege (2)

Chegge akiwapa raha mashabiki wa Fiesta jijini Mwanza.

dyna nyange (1) dyna nyange (2)

Dayna Nyange akionyesha umahiri wake wa kulishambulia jukwaaa la Fiesta.

NYOMI

Mashabiki wakipagawa na shoo ya Wizkid.

navykenzo (2)navykenzo (1)

Navy Kenzo (Aika na Nahreel) wakifanya makamuzi jukwaani.  

tiptop (1) tiptop (2) Wanamuziki kutoka Tiptop Connection, Madee na Tunda Man wakifanya yao stejini.  

umati (1)

umati (2)

Nyomi ya kufa mtu ndani ya uwanja wa CCM Kirumba.

PICHA ZOTE NA IDD MUMBA / GPL, MWANZA

Leave a Comment