MWANZILISHI na CEO wa Facebook, Mark Zuckerberg amewasili nchini Kenya leo kwa ziara ya kufundisha elimu ya biashara na miundombinu ya Teknoloji ya Habari na Mawasiliano, baada ya kutoka Nigeria.
Mfanyabiashara huyo maarufu duniani mwenye umri wa miaka 32 anatarajiwa kufanya kongamano la ujasiliamali wa njia ya mitandao ambalo atalifanya na wajasiliamali na wanatehama wa mifumo ya malipo ya pesa kwa njia ya simu (mobile money).
Mark Zuckerbergkushoto akila vyakula vya asili vya Afrika, ambavyo ni ugali, samaki na mboga za majani.
Alichokiandika Mark kwenye ppage yake ya Facebook: “Just landed in Nairobi! I’m here to meet with entrepreneurs and developers, and to learn about mobile money — where Kenya is the world leader.


daa ni kweli kuna mtanzania amebuni pallachat mbona amumpi sapoti?
tazama wwww.pallachat.com