×

Usajili wa MeTL Career Fair (Job Bonanza) kufungwa leo jumamosi changamkia fursa

Kama wewe ni mhitimu katika Uhandisi au Utawala (Masoko, Mahusiano, Fedha) na una ari ya kujifunza, ukiwa na mtazamo chanya wa mafanikio na mfuatiliaji wa maadili katika kazi, njoo ujiunge nasi katika bonanza hili la uchambuzi wa ajira.

Rasilimali Watu

Mauzo

Uhasibu

Masoko

Uhandisi

Kilimo

Nguo

Kwani unaweza ukawa mmoja kati ya watu 25 utakao wachagua kwa ajili ya kujiunga kwenye program ya uendelezaji wa wahitimu wa vyuo vikuu.

Na ukibahatika kuwa mmoja wapo kati ya hao utapata nafasi ya kujifunza kwa vitendo katika viwanda vyetu vilivyopo maeneo mbalimbali.

Pia utapata nafasi ya kufundishwa mifumo ya uendeshaji wa viwanda vya kisasa.

Utakuwa chini ya wakufunzi waliobobea katika kazi zao duniani ambao watakuwezesha wewe kukua katika kazi na kushika nyadhifa kwenye kazi yako.

Zaidi ya yote hayo utakayofanyiwa pia utalipwa ili kujifunza

Kwa taarifa zaidi tazama vipeperushi vyetu:

Leave a Comment