×

Papa Amtangaza Mama Theresa Kuwa Mtakatifu

Mama Tereza

VATICAN: Maelfu ya watu wameshuhudia ibada ya kutawazwa kuwa mtakatifu, Mama Teresa ambaye ametangazwa na Papa Francis leo.

Raia huyo wa Albania ambaye alifariki mwaka wa 1997 alianzisha shirika la hisani la kimishenari ili kuwasaidia walala hoi katika mtaa wa mabanda wa Calcutta nchini India.

Mama Tereza

Atajulikana kama mtakatifu Teresa wa Calcutta.
Waandishi wanasema kuwa maisha yake yanaenda sambamba na maono ya Papa Francis kuhusu kanisa linalojikakamua kuwasaidai watu masikini.

Leave a Comment