×

Simulizi ya Msamaha wa Mama

SIMULIZI

Na Leonard Msigwa/GPL

Kuanzia kesho tarehe 05-09-2016 tutaanza kuweka mfululizo wa simulizi ya kusisimua inayoitwa Msamaha wa Mama mtunzi wake ni Saed Bin Salim (24), kijana mkazi wa Zanzibar anayekuja kwa kasi kwenye ulimwengu wa uandishi wa simulizi nchini.

SAED

Saed Bin Salim (24).

Huyu ndiye mtunzi na mwandishi  wa simulizi za kusimua za “Sihitaji Kurudi Nilikotoka”, na “Sitokusamehe Seid.”

Simulizi hii itakuwa ikirushwa hapahapa Global Digital kila siku saa mbili kamili asubuhi na usiku saa mbili kamili.

Usikose kufuatilia simulizi hii kila siku.

1 Comment

Leave a Comment