×

Fiesta Yafunika Ndani Ya Tabora

TAMASHA la Tigo Fiesta 2016 usiku wa kuamkia leo limeonyesha hali ya kukubalika vilivyo kwa wakazi wa Tabora baada ya kuonyesha hali ya kuitikia vilivyo kwa kufurika katika  Uwanja wa Al Hassan mwinyi wa mjini Tabora.

shilole-copy

Staa mwenye makeke wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akicheza na shabiki wake Fiesta 2016 usiku wa kuamkia leo katika  Uwanja wa Al Hassan mwinyi wa mjini Tabora.

shilole-akilambwa-na-mbwana-wa-tabora-copy

Shabiki akimbusu shilole shingoni.

snura2-copy

img_8652-copy

Msanii Snura Mushi ‘Snura Majanga’ akifanya yake.

snura-copy

Snura akiongea na mashabiki wake.

img_8507-copy

Mkali wa Bongo Fleva, Ben Pol akifanya yake.

niki-wa-pili-copy

Niki wa Pili akiwakilisha Crew ya Weusi.

img_8520-copy

Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo ya Fiesta.

jux-na-mcheza-shoo-wake-copy

Staa wa Bongo Fleva anayetamba na wimbo wake wa Wivu, Juma Khalid ‘Jux’ akicheza na shabiki wake.

shaibu-copy

Director Shaibu akiachia vimbwanga jukwaani.

img_8565-copy

Msanii wa muzuki wa bongo fleva Nuh Mziwanda akiongea na mashabiki wake.

young-killer-copy

Mkali kutoka pande za Mwanza, Young Killer akichana mistari stejini.

Leave a Comment