×

Tekemeko la Ardhi Laikumba Kanda ya Ziwa, Nyumba Zaporomoka

teteeeeeeee teteeeeeeeeeee tetemeko tetemekoe tetemekooo tetemekoooj teterp  tetemekoeLeo Septemba 10, 2016, tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa Ritcha 5.7 limeikumbuka mikoa ya Kanda ya Ziwa hasa Kagera na Mwanza na kusababisha maafa makubwa ikiwemo nyumba za watu kubomolewa.

Maeneo yalioathirika zaidi kwa Tanzania ni, Bukoba, Nsuga (zote za Kagera) na Baadhi ya maeneo ya Mwanza.

fullscreen-capture-9102016-50919-pmMbali na Mikoa hiyo ya Tanzania, pia tetemeko hilo limeikumba baadhi ya miji na majiji ya nchini Uganda ikiwemo KampalaMbarara iliyopo Kusini Mashariki mwa nchi hiyo.

fullscreen-capture-9102016-52653-pmUPDATES:
– Imearifiwa kuwa tetemeko hilo limerudia tena likiwa na mtikisiko mkubwa zaidi.
– Nyumba kadhaa zimebomolewa.
– Pia taarifa za vifo zimesikika.

 

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mjini Bukoba, imeeleza kuwa watu 10 wamepoteza maisha kuokana na tetemeko hilo huku wengine zaidi ya 100 wakijeruhiwa vibaya na mpaka sasa wanaendelea kutibiwa hospitalini hapo.bukoba-tetemeko-2

Aidha baadhi ya majeruhi ambao hawakuumia sana walitibiwa na kuuhusiwa kuondoka hospitalini hapo kurejea majumbani kwao.

Picha za majeruhi wanaotibiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bukoba

 bukoba-tetemeko-3 bukoba-tetemeko-4 bukoba-tetemeko-5 bukoba-tetemeko-6 bukoba-tetemeko-7 bukoba-tetemeko-8 bukoba-tetemeko-9 bukoba-tetemeko-10 bukoba-tetemeko-12 bukoba-tetemeko-15 bukoba-tetemeko-16 bukoba-tetemeko-19 bukoba-tetemeko-21

Kwa upande wa Mamlaka ya hali ya Hewa Tanzania (TMA) wao walitoa taaifa kupitia tovuti ya mamlaka hiyo kuwa “Leo Septemba 10,2016 hakuna tahadhari yoyote ya Hali mbaya ya hewa.”

fullscreen-capture-9102016-53056-pm

PICHA NA: ABDULLATIF YUNUS BAISY/GPL-BUKOBA

Leave a Comment