The House of Favourite Newspapers

Uchaguzi wa Umeya Ubungo Waahirishwa

ukawa-news
Uchaguzi wa kumpata Meya wa Ubungo umeahirishwa leo hadi hapo itakapotangazwa tena baada ya madiwani wa Chadema na CUF kususa wakidai CCM imeongeza wajumbe.

Madiwani hao wamedai wajumbe wawili wa UKAWA wamehamishwa ili kurahisisha ushindi kwa CCM.

Comments are closed.