Wanatarajia kutangazwa wachezaji 30 katika tuzo ya mwanasoka bora duniani ambayo imerejeswa na itaendelea kusimamiwa na Jarida la France Footbal.Kabla ya kwisha mwaka huu, mshindi atakuwa amepatikana na imekuwa ikiendelea kutangazwa kwa makundi na baadaye utafanyika mchujo.
Makundi mawili ni kama ifuatavyo..
Sergio Aguero (Manchester City)
Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund)
Gareth Bale (Real Madrid)
Gianluigi Buffon (Juventus)
Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
Kevin De Bruyne (Manchester City)
Paulo Dybala (Juventus)
Diego Godin (Atlético Madrid)
Antoine Griezmann (Atlético Madrid)
Gonzalo Higuain (Napoli/Juventus)

