HAMISA MOBETTO ameanika ukweli wote kuhusu kutoka kimapenzi na Diamond, ugomvi wake na Zari, Beef na Lulu, Wema, Ali Kiba na wengine.
Hii ni baada ya kufanyiwa interview kwenye Kipindi cha THE PLAYLIST kinachokuwa hosted na DJ Lil Ommy wa Times FM.
Tazama full interview hapa!