×

Ajali ya Noah na Lori Yaua 17 Shinyanga

ajali-tinde-1

ajali-tinde-2

ajali-tinde-3 SHINYANGA: Watu 17 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za usajili T198CBQ na Noah ya abiria yenye namba za usajili T232BQR katika Kijiji cha Nsalala mkoani Shinyanga.

ajali-tinde-5Ajali hiyo imetokea jana Jumapili, Novemba 6, 2016 majira ya saa 1:45 usiku baada ya Noah iliyokuwa ikitokea Nzega mkoani Tabora kuelekea Tinde ilipogongana uso kwa uso na Lori hilo lililokuwa likitokea Kahama mkoani Shinyanya kuelekea jijini Dar es Salaam.

ajali-tinde-6Waliofariki dunia papo hapo hapo ni 15 huku wengine wawiwili waki wamefariki wakiwa njiani kupelekwa hospitali.ajali-tinde-7

ajali-tinde-4