×

Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Kanda ya Dar Yatamatika

01 Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu (katikati )akiwa na baadhi ya wananchi waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam”Yenye kauli mbiu ya maadhimisho hayo ilikuwa Hatutaki ajali tunataka Kuishi” zilizofanyika kwenye viwanja vya Mwembe yanga jana  kwa Udhamini wa Vodacom Tanzania.02

04Mwenyekiti wa  Kamati ya Usalama barabarani Kanda ya Dar es Salaam, Elifadhili Mgonja(Kushoto) akimpongeza Mkuu wa kitengo cha Usalama wa Afya na Mazingira wa Vodacom Tanzania,Karen Lwakatare(kulia)kwa mchango mkubwa uliofanywa na kampuni yake katika kuadhimisha wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam,”Yenye kauli mbiu ya maadhimisho hayo ilikuwa Hatutaki ajali tunataka Kuishi” zilizofanyika kwenye viwanja vya Mwembe yanga jana  kwa Udhamini wa Vodacom Tanzania.