The House of Favourite Newspapers

AJALI YA MV NYERERE, LUGOLA AWACHIMBA MKWARA WANASIASA – VIDEO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema wanaotumia ajali ya Kivuko cha kama mtaji wa kisiasa watakamatwa na kuchukuliwa hatua.

 

Lugola ametoa kauli hiyo alipowasili katika eneo la tukio kilipozama kivuko hicho huko Ukara Ukerewe mkoani Mwanza akitokea Kigoma ambapo amesitisha ziara yake ya kikazi na kulazimika kuelekea Jijini mwanza kufuatilia ajali ya MV Nyerere.

 

“Hatuko tayari kuchonganisha serikali na wananchi wake kupitia tukio hili. Tutakaowabaini tutawakamata.”

 

Lugola amesema zoezi la uokoaji na uopoaji litaendelea mpaka hatua ya kivuko kuondolewa majini.

BREAKING: Waziri Lugola Akiokoa Miili ya Watu Kivukoni

Comments are closed.