Ajira Mamlaka ya Bandari (TPA), Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili wa Vitendo

MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatarajia kuendesha Usaili wa Vitendo kwa wasailiwa waliofaulu usaili wa mchujo.

Usaili utafanyika siku ya tarehe 02-05-2017 katika Taasisi ya Teknologia Dar es Salaam (Dar es Salaam Institute of Technology-DIT)

Tangazo La Kuitwa Kwenye Usaili Wa Vitendo

Loading...

Toa comment